Hahahahha ndo kwanza nina 32 yrs old. Hebu usinizeeshe mweh.Wewe ni Bibi tu umezaa una miaka 35 jumlisha na hiyo kumi.
Benin hata akitoka lakini ni wakombozi wa ng'ambo wamejijengea heshima kubwa sana usiku wa leo
POTEEEEE
Wewe ni Bibi tu umezaa una miaka 35 jumlisha na hiyo kumi.
Benin hata akitoka lakini ni wakombozi wa ng'ambo wamejijengea heshima kubwa sana usiku wa leo
POTEEEEE
Unaona eeeh. Na senegal asipoangalia kanaweza mkalisha. Ila naamini senegal wapo offensive sana. Watakakalisha tu. Ziyach yaani ile penalty iliyogonga mwamba mpaka sasa haiachi kupita kichwani mwangu.Ziyech nimemchukia sana, unajuwa dada tim kubwa kubwa zina raha yake zinapokutana robo/nusu fainali. Sasa hako kapumbavu ka~Benin hakana mpira wowote wa kuvutia muda wote kamepaki basi alafu kamepita, tena kbahati bahati tu.,,,, mammae hafiki mbali.
Benin ni kiboko ya waarabu kila akikutana nao huwa anawafumua Tunisia wanakumbuka
Ndio ujuwe kuwa huyu jamaa ni noma.Mane ni mchezaji mzuri. Ila hajui kupiga penalties. Mbaye Niang is more better than Mane when it comes to penalties. 2017 Alikosa penalty dhidi ya Cameroun. Ilikuwa mechi muhimu sana kwenye AFCON.Kocha anatakiwa afanye maamuzi magumu. Mane asipige penalty. Just to let you know yale magoal yake 22 alofunga na Liverpool yana zero penalty.
Bibi weweHahahahha ndo kwanza nina 32 yrs old. Hebu usinizeeshe mweh.
Unaona eeeh. Na senegal asipoangalia kanaweza mkalisha. Ila naamini senegal wapo offensive sana. Watakakalisha tu. Ziyach yaani ile penalty iliyogonga mwamba mpaka sasa haiachi kupita kichwani mwangu.
Kumbe unafata majina loh!Ladha ya mpira inaenda inapungua. Tim kubwa zikitolewa siangalii tena.
Senegal
Algeria
Nigeria
Egypt
Tunisia
Wakitolewa hawa, naacha kuangalia
Kumbe unafata majina loh!
Nigeria wana mpira wa kuvutia ila hawafiki mbali
Natarajia Egypt kuaibishwa atoke quarter final wana mchezo mbaya.
Natarajia maajabu kutoka kwa Tunisia japo walionyesha mchezo mbovu Wabi kadhri kaflop sana
Senegal hawa wanagundu huenda wakatoka semi final.
Algeria hawa wanapigiwa sana upatu wanacheza soka la kuvutia mno ni wakutazamwa mara mbili mbili.
Nakushauri uwaangalie The ivorians hutojutia
UG nilijua hapa ni mwisho wake sema wanastahili pongezi ni wakombozi wa nga'ambo 2017 walienda wakapigwa game zote kama Ccm timuMkuu, nipe pole bwana Morroco wametolewa na watoto.
Pia pole mmepigwa na senegar. Ndio mchezo ilivyo πππ
Subiri maajabu na Egypt yako uone itakavyolazwa na kuwa kwake nyumbani na hivi majamaa ni racist wakubwa viwanja vitazidi kuwa tupuYani ivory ndio wachovu kabisa bora hata egypt na senegal π€£π€£π€£π€£
Umeona na wewe kumbe ? Uzuri mpaka sasa toka michuano ianze sijakosa mechi ata moja. Mm naona madagascar anaupiga mwingi kuliko timu nyingi umu.Yani ivory ndio wachovu kabisa bora hata egypt na senegal π€£π€£π€£π€£
Mkuu hata uwe na kipa mzuri vipi kama beki zako ni mbovu unapigwa tu......Tungeazima kipa wa Benin tungekuwa raundi ya pili
Hahahaha nafuta kauli[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu tupo hapa tunakusikiliza
Acha tu mkuu nilipata ganzi kabisa mafala wamesepa na 200k hao[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16]Mods fanyeni kazi yenu na mumlipe kadri ya maombi yake,
Huyu kipa ameukonga moyo wangu sana..Tungeazima kipa wa Benin tungekuwa raundi ya pili