2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Wewe ni Bibi tu umezaa una miaka 35 jumlisha na hiyo kumi.
Benin hata akitoka lakini ni wakombozi wa ng'ambo wamejijengea heshima kubwa sana usiku wa leo

POTEEEEE
Hahahahha ndo kwanza nina 32 yrs old. Hebu usinizeeshe mweh.
 
Wewe ni Bibi tu umezaa una miaka 35 jumlisha na hiyo kumi.
Benin hata akitoka lakini ni wakombozi wa ng'ambo wamejijengea heshima kubwa sana usiku wa leo

POTEEEEE

Mkuu, nipe pole bwana Morroco wametolewa na watoto.

Pia pole mmepigwa na senegar. Ndio mchezo ilivyo 😁😁😁
 
Ziyech nimemchukia sana, unajuwa dada tim kubwa kubwa zina raha yake zinapokutana robo/nusu fainali. Sasa hako kapumbavu ka~Benin hakana mpira wowote wa kuvutia muda wote kamepaki basi alafu kamepita, tena kbahati bahati tu.,,,, mammae hafiki mbali.
Unaona eeeh. Na senegal asipoangalia kanaweza mkalisha. Ila naamini senegal wapo offensive sana. Watakakalisha tu. Ziyach yaani ile penalty iliyogonga mwamba mpaka sasa haiachi kupita kichwani mwangu.
 
Benin ni kiboko ya waarabu kila akikutana nao huwa anawafumua Tunisia wanakumbuka

Ladha ya mpira inaenda inapungua. Tim kubwa zikitolewa siangalii tena.

Senegal
Algeria
Nigeria
Egypt
Tunisia

Wakitolewa hawa, naacha kuangalia
 
Mane ni mchezaji mzuri. Ila hajui kupiga penalties. Mbaye Niang is more better than Mane when it comes to penalties. 2017 Alikosa penalty dhidi ya Cameroun. Ilikuwa mechi muhimu sana kwenye AFCON.Kocha anatakiwa afanye maamuzi magumu. Mane asipige penalty. Just to let you know yale magoal yake 22 alofunga na Liverpool yana zero penalty.
Ndio ujuwe kuwa huyu jamaa ni noma.
alafu penati hazina mwenyewe ni bahati tu
Mané - 22 (0 penalties) goal every 140 mins
🇪🇬 Salah - 22 (3 penalties) goal every 148 mins
🇬🇦 Aubameyang - 22 (4 penalties) goal every 124 mins

Mané ni silaha yenye full magazine
 
Ladha ya mpira inaenda inapungua. Tim kubwa zikitolewa siangalii tena.

Senegal
Algeria
Nigeria
Egypt
Tunisia

Wakitolewa hawa, naacha kuangalia
Kumbe unafata majina loh!
Nigeria wana mpira wa kuvutia ila hawafiki mbali

Natarajia Egypt kuaibishwa atoke quarter final wana mchezo mbaya.
Natarajia maajabu kutoka kwa Tunisia japo walionyesha mchezo mbovu Wabi kadhri kaflop sana

Senegal hawa wanagundu huenda wakatoka semi final.
Algeria hawa wanapigiwa sana upatu wanacheza soka la kuvutia mno ni wakutazamwa mara mbili mbili.

Nakushauri uwaangalie The ivorians hutojutia
 
Yani ivory ndio wachovu kabisa bora hata egypt na senegal 🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu, nipe pole bwana Morroco wametolewa na watoto.

Pia pole mmepigwa na senegar. Ndio mchezo ilivyo 😁😁😁
UG nilijua hapa ni mwisho wake sema wanastahili pongezi ni wakombozi wa nga'ambo 2017 walienda wakapigwa game zote kama Ccm timu

Mara hii wamerudi wamefika best 16 natarajia kuwaona robo fainal au nusu 2021.
Morocco hawa uronado mwingi kama Nigeria wanamiliki mpira mpaka wanashtusha unajiuliza wanacheza na watoto au alafu ukitazama ubao ni goalless au nguvu sawa
 
Yani ivory ndio wachovu kabisa bora hata egypt na senegal 🤣🤣🤣🤣
Subiri maajabu na Egypt yako uone itakavyolazwa na kuwa kwake nyumbani na hivi majamaa ni racist wakubwa viwanja vitazidi kuwa tupu
 
Back
Top Bottom