blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Hana maana kabisa huyoo....Musonna hapana jamani. Ndo kukosa gani huko. Warriors wapo fire fire leo. Wanataka kuendelea second round.
Nchi za watu hurudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana maana kabisa huyoo....Musonna hapana jamani. Ndo kukosa gani huko. Warriors wapo fire fire leo. Wanataka kuendelea second round.
Yaani sijui ni overconfidence au stress?Hana maana kabisa huyoo....
Nchi za watu hurudi
Hajiamini... Na kitete...anatetema miguuni.Yaani sijui ni overconfidence au stress?
Zahera ana mchezaji wake Zimbabwe anaitwa kamusoko ila Yanga wameachana nae.Acha bwana Billiat ni moto. Zahera team yake inacheza usiku saa tano. Nahisi leo kina Zahera DRC ndo wanaaga mashindano
Hahahaha Kenya vs Tanzania vibonde wa group C.Mechi hii inavutia hata kuiangalia
Subirini mechi ya kesho ya saa 5usiku mtanambia ni kipofu mmoja anayejisifu asijijue kuwa ni kipofu akimuongoza kipofu mwrnzake
Mwisho wa siku yoote yanatoka(wanatumbukia mtaroni)
Zahera katoka
Uganda wana bahati
Hahahaha Kenya vs Tanzania vibonde wa group C.
Umeuona mpira kwenye msitari kabisa. Zimbambwe watajutia hizi nafasi.Uganda wana bahati
Sijaona timu yenye Gundu ka Z bwe aisee...Uganda wana bahati
Kamusoko ndio nimembatiza Zahera na Zimbabwe ni zahera fcZahera si yupo Congo mzee baba
Saivi wanafungwa wao si wamechezea bahati unaona hiyo attackUmeuona mpira kwenye msitari kabisa. Zimbambwe watajutia hizi nafasi.
Acha tu. Team moja inaelekea kuondoka na point 3.Saivi wanafungwa wao si wamechezea bahati unaona hiyo attack
Kamusoko ndio nimembatiza Zahera na Zimbabwe ni zahera fc