2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Andrea huyu jamaa na ma_bleach yake kichwani anatisha anacheza Saudi arabia.
 
Burundi 😂😂😂😂😂 Guinea leo watawagonga hata tatu Guinea leading 1-0
 
Hahahaha Carolus Andrea nategemea kumuona akicheza Serie A ama EPL msimu utakapoanza 👏👏👏
 
Daaaahh, nimepitwa uhondo nilidhani ni mechi za hovyo sijaenda kibandani
Madagascar hawachezi mpira wa kuvutia kama timu na katika mechi zao zote wamezidiwa possession ila wana watu wana uwezo binafsi hawachezei nafasi kabisa.

Na hawa jamaa ni hatari sana kwenye mipira iliyokufa "set pieces" natamani hata wangekuwa ndio Taifa stars
 
Back
Top Bottom