Chief Sam
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 2,483
- 4,675
Ishakuwa dhahama zitafika sita hao jamaa nawafaham.ndo kisa cha kuto angalia game iyo.mara ya mwisho walitupiga 7-0Tumegongwa tena LA 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishakuwa dhahama zitafika sita hao jamaa nawafaham.ndo kisa cha kuto angalia game iyo.mara ya mwisho walitupiga 7-0Tumegongwa tena LA 2
sisi 2-0 Bashite
Sio ya watanzania.
Kaa na mimi nikupe live updates za gemu hii,kila tukio.
Mungu Ibariki Tanzania,Mungu Ibariki Taifa Stars
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mna vikapu vya kubebea magoli watanzania wenzangu?tunapigwa la pili hapa.
habari ndiyo hiyo![emoji1][emoji1]
Ya akina nani Kumbe ?Sio ya watanzania.
Kiarabu = KHAMSATunapigwa tano
Ishakuwa dhahama zitafika sita hao jamaa nawafaham.ndo kisa cha kuto angalia game iyo.mara ya mwisho walitupiga 7-0
Atakuw amenisaidia sanaRekebisha kichwa cha habari hiyo ni ccm stars na siyo Taifa Stars.
Inatekelezwa ki ufasaha kabisa.Ngoja tuone kama ilani ya chama Leo itatekelezwa vizuri
Ya akina nani Kumbe ?
Pepo tokaaaaa......🇩🇿🇩🇿🇩🇿🇩🇿🇩🇿🇩🇿Kaa na mimi nikupe live updates za gemu hii,kila tukio.
Mungu Ibariki Tanzania,Mungu Ibariki Taifa Stars