Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morocco ushafeli[emoji3]Tuone nani atamchana muhindiView attachment 1147483
Daaaahhh, Ziyach kaniangusha sana aisee.Mhindi ameshakutoa knockout
Morocco ameshang'olewa
Daaaahh, naona Waarabu wameanza vibaya..Morocco ushafeli[emoji3]
Benin kampiga mwarabu aisee.
Tutegemee mengi aisee
Mechi ishaanza?Uganda 0-1 Senegal_Mane
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Teh ....
Hesabu maumivu [emoji28]
Kukosa penati ni kawaida maradona , zidane, Ronaldo di lima, Messi wote walishakosaZiyach ile penalt alokosa. Yaani pale nikajua uchawi upo.
Senegai 1 Uganda 0 dakika 30Senegal watakuwa wamepiga Afrika mashariki Baada ya Tz Ke na sasa Ug anaye bisha tukutane saa tano
Yaani ile penalt angefika,kungekuwa hakuna muda wa nyongeza. USIOMBE KUKOSA PENALT INAYOAMUA HATIMA YENU.Kukosa penati ni kawaida maradona , zidane, Ronaldo di lima, Messi wote walishakosa
Umeona wanachofanya hawa marefa waarabu eeh...
Algeria alibebwa leo Morocco naye kabebwa ila wapi....
Kabisa apigwe ban kama alivyoombaMods fanyeni kazi yenu na mumlipe kadri ya maombi yake,
Ha ha ha ha,,,,,uyo mtu alipwe kadri ya maombi yake mkuu kwan kaomba yeye mwenyew
Bado mawiliSenegai 1 Uganda 0 dakika 30
Ug anapigwa..Mechi ishaanza?
Wasgatoka haoMorocco
Mods wanilime lifeban kama morocco asipobeba afcon
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Morocco
Mods wanilime lifeban kama morocco asipobeba afcon