Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
VAR inawaokoa Senegal. Ila dhahiri shahiri ile ni penalt.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile penalt iliniogopesha.Acha zako
We ni mwarabu kwani [emoji28]
Nipo najikuna hapa
Penaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat
Ngozi nyeupe tuna matatizo pia mkuuMkuu wangefika kwenye matuta ngozi nyeusi tuna matatizo
Senegal bye bye.Leo balaa tupu.Tenis ilikuwa balaa,football napo yale yale.
Ngozi nyeupe tuna matatizo pia mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣👍👍👍👍👍👍👏👏👏🙌🙌🙌Wazalendo wote tuendelee kuombea mkeka huuView attachment 1153761
Wazalendo wote tuendelee kuombea mkeka huuView attachment 1153761
Algeria kanyimwa penalty ya wazi.
Algeria kanyimwa penalty ya wazi.
Tunisia atalala leo wanamuota refa.Nami naona hivyo ila kipindi cha pili naona Tunisia wameanza kwa kasi sana, sijui nini kitatokea
Sassi leo anakosa magoli ya wazi saana.