2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hehehe , mimi sio ccm mkuu
Jamaa alkua anauangalia tu mpira no technical move hata ya kuuangalia !
Ile muvu hata wewe ungefeli tu...

Ghafla mnoo. ..

Ni kama tu vile unKutana na demu uliyemtamanii kitaamboo...afu unapania kumnyooshaa pale u plan a date...
On act U pee on ur'self...
Damn.. This is what I see going down here.
 
Aahaha haha

Tunaumia tulio bet
 
Hadi hapa napenda kuchukua fursa ya kujipongeza mwenyewe kwa mkeka huu ulivyotiki barabara.

Mkeka wa lala salama utakuwa namna hii.

1. Bingwa AFCON 2019 - Algeria (Timu iliyofungwa magoli 2 hadi sasa ndani ya dk 90)
2. Mshindi wa Pili - Senegal
3. Mshindi wa Tatu - Nigeria
4. Mshindi wa Nne - Tunisia.

View attachment 1153845
Mkuu mkeka wako wa mwisho... Final..

Ulisema nani atashinda!?
.
 
Back
Top Bottom