Timu ya wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20 wakiwa kama waalikwa wameingia fainali katika mashindano ya COSAFA dhidi ya Zambia huko Afrika ya kusini. Mchezo umeshaanza, sasa ni dakika ya 34 ya kipindi cha kwanza, Tanzania inaongoza kwa 1-0
Mchezo unaonyeshwa supersport 9.
Timu ya wanawake chini ya miaka 20 wameweza kutwaa ndoo ya Cosafa wakiwa wageni waaalikwa baada ya kuichapa Zambia 2:1. Mechi ilikua ngumu sana. Angalau watatuliwaza na huu msiba mzito. Big up wanawake wote