2019 COSAFA Women U20 Final: Tanzania 2 VS 1 Zambia

2019 COSAFA Women U20 Final: Tanzania 2 VS 1 Zambia

Hongera kwao! Wameiwakilisha Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ vyema ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Baada ya hapo unasikia Mwajuma aliefunga goli la ushindi fainali kaolewa Naliendele.
 
Mpira wa bongo wanawake ndo wanaweza wakiume hakuna kit.
 
Baada ya hapo unasikia Mwajuma aliefunga goli la ushindi fainali kaolewa Naliendele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpira wa Bongo wanawake wanaweza, WANAUME wasindikizaji tu. Kama kungekuwa na uwekezaji mzur kwao wangefika mbali sana
 
pongezi kwa serikali ya awamu ya tano kwa kufanikisha jambo hili

(nimemnukuu mtu sio mimi)
 
Back
Top Bottom