Wabongo buana! Khaaa!Ndiooo...sema wengi ni vijeba
Was simba huyoBashite hakujihusisha na hii timu ndiyo maana imeshinda
Wapewe tuzo,aijawai kutokea.Timu ya wanawake chini ya miaka 18 Tanzania yaibuka kidede kwa kuilaza timu ya Zambia kwa 2 - 1
View attachment 1178244View attachment 1178245
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya hapo unasikia Mwajuma aliefunga goli la ushindi fainali kaolewa Naliendele.
Kwa taharifa yako bingwa wa COSAFA U17 kwa wanaume ni Tanzania.Hongera kwao! wanaume wameshindwa wanawake tunaweza!