Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 2,962
- 7,856
Yan kiukweli ulipaji wa kodi bado Tz ..na hela nyng na serivces nying hazihesabiwi kwenye GDP cause ya kukosa risiti na documentation ..kunaweza kukawa na mzunguko wa hata USD Bililion 20 ambazo serikali haiujuiI totally agree with a Kenyan kiukwel Tanzania informal economy ni kubwa mno nahailipi tax kabisa @ Kiuhalisia Tanzania GDp is higher than Kenya can stand st $100B tatizo la Tanzania serikali imelala sana. @ yaan kwa Tanzania ni kitu cha kawaida MTU kununua bidhaaya 1 or 2million TSh pasipo risiti yeyoote (tax) ya malipo nimeshaona MTU ananunua kitanda kwa. 1.5 million TSh pasipo resiti ya malipo
TPA waliwahi kusema 40% of goods zinapitia bandari bubu..sasa hapo TPA inakosa billions of money ..plus ni tani kama million 6 ambazo zingepita ports
Sent using Jamii Forums mobile app