2019 forecast GDP of African countries.

2019 forecast GDP of African countries.

That is true. Our economies are still tiny. We
The figures are very petty. Uchumi WA Africa mashariki mdogo mno.

Just a comparison, Baowu steel group has revenues in excess of $47billion, those are the factories we need. ukiongezea Kenya kiwanda hicho itazipiku Angola na Morocco.
 
Whonder ni kwamba mtuanasherehekea kuwa wa sita kiuchumi akiwa na $88b[emoji16][emoji16].

Wakati south korea wako na $1000b+,ni nyama gani mkenya hukula!!!
 
$1trn ya South Korea ikilinganishwa na $88bbn ya Kenya ni Kama kulinganisha simba na kunguru

I'll pia kulinganisha $88bn kwa Wat 46mn na $51bn kwa Watu 55mn ni Kama kulinganisha kunguru na njiwa
 
Huna pa kusherehekea Waganda hawasikielewi kiswahili, Wakenya wanaokielewa wamewashinda kiuchumi hamna kwa kutorokea ila hapa hapa na kuokwa povu. I sympathize with you truly.
 
Nitoe povu kwa kinchi masikini chenye utajiri wa pesa ya mboga[emoji23][emoji23][emoji23].umebanwa mavi wewe.

Yaani nyie wakenya mna matatizo ya akili,nigeria wako na $ 360+bln na hawapiti mbele za watu wakitikisa matako,nyie na hiyo uchumi yenu ya maua mnataka kutulaza nje kwa kelele.
 
$1trn ya South Korea ikilinganishwa na $88bbn ya Kenya ni Kama kulinganisha simba na kunguru

I'll pia kulinganisha $88bn kwa Wat 46mn na $51bn kwa Watu 55mn ni Kama kulinganisha kunguru na njiwa

Kuna vitu ni aibu kusema,hata kujipiga kifua.

Lakini watu wamechagua huo upuuzi,ni kuacha wajifurahishe.
 
Nitoe povu kwa kinchi masikini chenye utajiri wa pesa ya mboga[emoji23][emoji23][emoji23].umebanwa mavi wewe.

Yaani nyie wakenya mna matatizo ya akili,nigeria wako na $ 360+bln na hawapiti mbele za watu wakitikisa matako,nyie na hiyo uchumi yenu ya maua mnataka kutulaza nje kwa kelele.
Wanaigeria wana population 200 million people, Kenya ina population ya 45 million, Tanzagiza 60 million na GDP $51b. Usishangae mbona tunafuraha ilhali nyinyi na Wanaigeria hamna furaha.
 
Kwahiyo wakenya mna furaha!!!??

Nini kinawafurahisha???
 
Wanaigeria wana population 200 million people, Kenya ina population ya 45 million, Tanzagiza 60 million na GDP $51b. Usishangae mbona tunafuraha ilhali nyinyi na Wanaigeria hamna furaha.
furaha yenu ni kuzizidi nchi flani?
 
Of course we are both two figures economy..at list wangekua n 3 digit then worry out bud we are coming soon am sure...
 
Back
Top Bottom