RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
Mjerumani huwa hafanyi mchezo kabisa hapo kwenye S Class.
Kwa kweli Mjapan amewapeleka mchaka mchaka. Lexus LS imejitahidi saana kuwafanya Wajerumani wakune vichwa. Hiyo point umesema ya msingi. Kuna kitu wananiboa siku hizi. Salon wamefanya C na E class kuwa na muonekano fulani unaokaribiana na S Class. Zamani S Class ilikuwa na muonekano wa kipee, yaani ukiliona tu hata kwa mbali hauulizi.Nakumbuka zamani sana Merc ilikuwa ikitengenezwa toleo moja linakaa miaka 10 ndio wanatoa design tofauti.
Lakini walipoona mjapani anampita sana kwa mauzo nae akaamua kuanza kutengeneza aina tofauti tofauti
Na mjerumani hana utani likija suala la safety na uimara katika kazi zake.
Hapa nilipo sio ujerumani lakini kila gari 4 zikipita barabarani moja ni ya mjerumani
Kwa kweli Benz lina heshima yake ndio maana wamegoma kuiuza hii kampuni maana ni nembo ya Taifa kwa kweli
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kweli mkuu siku hizi zinachanganya sana E na C utofauti coupes na cabriolet au saloon ndio utaona utofautiKwa kweli Mjapan amewapeleka mchaka mchaka. Lexus LS imejitahidi saana kuwafanya Wajerumani wakune vichwa. Hiyo point umesema ya msingi. Kuna kitu wananiboa siku hizi. Salon wamefanya C na E class kuwa na muonekano fulani unaokaribiana na S Class. Zamani S Class ilikuwa na muonekano wa kipee, yaani ukiliona tu hata kwa mbali hauulizi.
Range Rover kwa kweli zina muonekano mzuri, I wish Mjapan angecopy muundo wa Range Rover. Yaani Range Rover hata ukiiona kwa mbali unajua ni gari la maana. Shida yake tu kwamba sio reliable. Ni gari ambalo unatakiwa uwe na mkwanja wa kutosha ndio utalifaidi vizuri.Kweli mkuu siku hizi zinachanganya sana E na C utofauti coupes na cabriolet au saloon ndio utaona utofauti
Na bei zake hazipishani sana hivyo
Lakini mimi mpenzi wa Audi na Range Rover mkuu
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ni kweli. 7 series na A8 wanajitahidi saana kupambana na Mercedes, ila heritage ya S Class kwa kweli haipimiki.S-class ndio flagship ya Benz hatari sana hio,bmw walijaribu ku compete nae kwa 7-series yao lkn naona reviews za 7-series haziko poa huko mitandaoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
S-Class ni habari nyingine kwenye classes zote za Mercedes, si gari la malofa kwa sababu hata engine capacity yake ni kubwa lakini very luxurious, ukimbeba mdada, wala usitongoze nenda moja moja kwenye eneo la tukio.S-class ndio flagship ya Benz hatari sana hio,bmw walijaribu ku compete nae kwa 7-series yao lkn naona reviews za 7-series haziko poa huko mitandaoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uingereza wameuza Land rover kwa India wakaharibu mambo yoteNakumbuka zamani sana Merc ilikuwa ikitengenezwa toleo moja linakaa miaka 10 ndio wanatoa design tofauti.
Lakini walipoona mjapani anampita sana kwa mauzo nae akaamua kuanza kutengeneza aina tofauti tofauti
Na mjerumani hana utani likija suala la safety na uimara katika kazi zake.
Hapa nilipo sio ujerumani lakini kila gari 4 zikipita barabarani moja ni ya mjerumani
Kwa kweli Benz lina heshima yake ndio maana wamegoma kuiuza hii kampuni maana ni nembo ya Taifa kwa kweli
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
JLR ni ya Tata na kwa sasa wameamua kuhamisha kiwanda huko Slovakia, na hapa Solihull na kwingine baadhi vitabakia hapa UK ingawa wengi watakosa ajira.Uingereza wameuza Land rover kwa India wakaharibu mambo yote
Ni kweli. 7 series na A8 wanajitahidi saana kupambana na Mercedes, ila heritage ya S Class kwa kweli haipimiki.
S-Class ni habari nyingine kwenye classes zote za Mercedes, si gari la malofa kwa sababu hata engine capacity yake ni kubwa lakini very luxurious, ukimbeba mdada, wala usitongoze nenda moja moja kwenye eneo la tukio.
Nakumbuka zamani sana Merc ilikuwa ikitengenezwa toleo moja linakaa miaka 10 ndio wanatoa design tofauti.
Lakini walipoona mjapani anampita sana kwa mauzo nae akaamua kuanza kutengeneza aina tofauti tofauti
Na mjerumani hana utani likija suala la safety na uimara katika kazi zake.
Hapa nilipo sio ujerumani lakini kila gari 4 zikipita barabarani moja ni ya mjerumani
Kwa kweli Benz lina heshima yake ndio maana wamegoma kuiuza hii kampuni maana ni nembo ya Taifa kwa kweli
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kwa kweli Mjapan amewapeleka mchaka mchaka. Lexus LS imejitahidi saana kuwafanya Wajerumani wakune vichwa. Hiyo point umesema ya msingi. Kuna kitu wananiboa siku hizi. Salon wamefanya C na E class kuwa na muonekano fulani unaokaribiana na S Class. Zamani S Class ilikuwa na muonekano wa kipee, yaani ukiliona tu hata kwa mbali hauulizi.
JLR ni ya Tata na kwa sasa wameamua kuhamisha kiwanda huko Slovakia, na hapa Solihull na kwingine baadhi vitabakia hapa UK ingawa wengi watakosa ajira.
Tata ni habari nyingine na wote wanaofanya kazi JLR bado wameajiriwa hapo
Kwa hiyo mitambo ni ile ile na bado ina ubora
Karibia Jaguar zote nimeendesha zikiwa mpya kwa hiyo heshima yake ni ile ile na bei ziko juu sana
I-pace jaguar imetengenezwa Austria na ni electric
Dhumuni sasa ni kuhakikisha magari yote yawe na mfumo wa umeme.
Diesel kwaheri
Na gari ya umeme kama ni zero emissions hulipi road tax
JLR wako mbali sana kwa gari zao mkuu asikuambie mtu nazijua sana mpaka top of the range nimeendesha
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Aisee lakini mimi naziona ziko poa na zimetulia sanaJaguar XJ 2010 nimeshaiendesha,ndani kama ndege vile,ila interior design ikianza kuji-peel ni balaa na reliability yake sikuipenda sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehee! Heshima imepungua eeh?Uingereza wameuza Land rover kwa India wakaharibu mambo yote
Mie jamaa sijapenda hii trend yao ya sasa ya kuzalisha Range Rover za aina nyingi. Bora wangebaki mbili kama mwanzo.JLR ni ya Tata na kwa sasa wameamua kuhamisha kiwanda huko Slovakia, na hapa Solihull na kwingine baadhi vitabakia hapa UK ingawa wengi watakosa ajira.