JLR ni ya Tata na kwa sasa wameamua kuhamisha kiwanda huko Slovakia, na hapa Solihull na kwingine baadhi vitabakia hapa UK ingawa wengi watakosa ajira.
Tata ni habari nyingine na wote wanaofanya kazi JLR bado wameajiriwa hapo
Kwa hiyo mitambo ni ile ile na bado ina ubora
Karibia Jaguar zote nimeendesha zikiwa mpya kwa hiyo heshima yake ni ile ile na bei ziko juu sana
I-pace jaguar imetengenezwa Austria na ni electric
Dhumuni sasa ni kuhakikisha magari yote yawe na mfumo wa umeme.
Diesel kwaheri
Na gari ya umeme kama ni zero emissions hulipi road tax
JLR wako mbali sana kwa gari zao mkuu asikuambie mtu nazijua sana mpaka top of the range nimeendesha
Sent from my SM-G570F using Tapatalk