Wengi wanakuwa na ile monthly plan.Nafikiri ndio wanataka hiyo. Japo kwa dears nafikiri wanakubali ku trade in gari la zamani unaongeza pesa unapata jipya.
Hata kampuni ya Rivian nao wanatengeneza Pickups za umeme.Daa! Umenikumbusha enzi hizo. Yaani unacharge simu for more than 3hrs, halafu inaishiwa charge saa nne asubuhi. Kweli, Tesla wameanza vizuri. Kuna jamaa wanaitwa Rimac, wako vizuri. Wanatengeneza super cars za umeme. Soon zitakuwa mass produced. Maan kwa sasa ni limited editions tu nadhani.
Kuna fast charger za dakika 40 from 0-80%500km ni nyingi za kutosha kwa kweli. Hiyo kwa matumizi ya mjini, unacharge once a week maisha yanaendelea. Sema nimesoma sehemu kuwa ukicharge kwa umeme wa ndani inachukua muda mrefu saana kujaa. Hapo nafikiri kwa Bongo ndio itakuwa kimbembe.
Magari ya umeme bado naona itakuwa changamoto kubwa sana Tanzania hasa kwenye upande wa miundombinu, ufundi na spares.
Mpaka sasa spare za baadhi ya magari hata ya 2010 bado ni shida sana, mafundi wenye uwezo wa kutengeneza other than Toyota cars ni tuseme kama hakuna.
Miundombinu ni tatizo kubwa sana, barabara zetu ni all weather roads kuanzia posta mpaka nanjilinji. Hybrid or EV cars ni sensitive sana, kitu kidogo sana unaliacha porini.
Mvua ikinyesha, ukapitisha gari kwenye haya madimbwi yetu, gari inapiga shoti. Umezubaa ukapiga shimo, gari inakata umeme forever na ukichangia hakuna fundi, basi utapaki gari gereji.
Binafsi, napenda sana gari za umeme. Kungekuwa na reliability ya maintainance, mafundi na spares, ningepambana ndani ya miaka hii miwili ninunue full electric au hybrid kama Tesla.
Sasa toka barabara kuu mpaka kwangu tu, ukiwa na gari lele mama utalipaki ndani ya week sio kwa mashimo haya.
Ngoja nibaki na haya ya mafuta kwanza, labda nikihama nchi naweza tumia umeme au barabara zetu zikiwa za kisasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh, okay. Daa! Jamaa wanarahisishiwa maisha kweli kweli yaani. Hii kitu safi saana. Ndio maana wanaweza kununua new cars.Wengi wanakuwa na ile monthly plan.
Kwahiyo unatumia gari kwa bei ya chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehee! Imedibi nicheke tuu. Una point ya msingi hapo mkuu.Tuna safari ndefu sana tusiyoifikia
Kama mtu mkubwa kashupalia neno dhaifu unategemea tutafika mahali
Nisamehewe kwa kuchomekea hili
Ila bado tuna safari
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Nimepitia web yao nikaona. Wanafanya kazi nzuri. Bora watengenezaji wa magari ya umeme waongezeke.
Kabisa yaani. Kuna watu hata Google hawajui kutumia, kila kitu wanakitafuta Instagram. Sasa ku scroll hizo picha pamka upate unachotafuta, lazima siku nzima iishie hapo.Mkuu ni vigumu siku hizi kuona watu wakiwa na hobbies siku hizi
Ni smartphones tu masaa 14
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
First time ninasikia about RS6 nilishangaa kweli. Wagon yenye performance ya super car, duu! Niliwakubali saana hawa jamaa.Wanasema DNA ya gari ni Audi
Kwa kweli acha kabisa SQ7 ni balaa aisee inakimbia pamoja na ukubwa wake huo
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Yaani hii huwa inaumiza saana. 2010 tunaongelea almost 10 yrs ago now, lakini mpaka sasa gari la mwaka huo kwa spares ni kimeo hapa kwetu. Mie huwa nashangaa unakwenda kwenye garage kubwa kabisa lakini oil filter wanafungua kwa kamba. Unajiuliza hawa watu wako karne gani. Mbona kuna tools za kufungulia na ziko cheap kabisa. Hapo na imani inapotea. Kila kitu wanafungua kwa kugonga na nyundo. Sasa electric car uje ugonge na nyundo kutoa ball joint, si unaharibu motors zote na battery kabisa.Magari ya umeme bado naona itakuwa changamoto kubwa sana Tanzania hasa kwenye upande wa miundombinu, ufundi na spares.
Mpaka sasa spare za baadhi ya magari hata ya 2010 bado ni shida sana, mafundi wenye uwezo wa kutengeneza other than Toyota cars ni tuseme kama hakuna.
Miundombinu ni tatizo kubwa sana, barabara zetu ni all weather roads kuanzia posta mpaka nanjilinji. Hybrid or EV cars ni sensitive sana, kitu kidogo sana unaliacha porini.
Mvua ikinyesha, ukapitisha gari kwenye haya madimbwi yetu, gari inapiga shoti. Umezubaa ukapiga shimo, gari inakata umeme forever na ukichangia hakuna fundi, basi utapaki gari gereji.
Binafsi, napenda sana gari za umeme. Kungekuwa na reliability ya maintainance, mafundi na spares, ningepambana ndani ya miaka hii miwili ninunue full electric au hybrid kama Tesla.
Sasa toka barabara kuu mpaka kwangu tu, ukiwa na gari lele mama utalipaki ndani ya week sio kwa mashimo haya.
Ngoja nibaki na haya ya mafuta kwanza, labda nikihama nchi naweza tumia umeme au barabara zetu zikiwa za kisasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa. Maana 40 mins unategea muda wa lunch huku gari linajaa. Sasa sijui unalipia vipi kujaza gari. Wanacharge based on time, au kuna jinsi ya kuangalia umetumia units kiasi gani.Kuna fast charger za dakika 40 from 0-80%
Hivi spares parts zake zinapatikana kweli mitaani kwetu? Nimeviona kadhaa vikipita pita mtaani. Ila nina mashaka saana na mafundi wetu. Though kuna mdau mmoja, LEGE nafikiri alisema kwenye garage yake wanaweza kuvirekebisha. Maana mafundi wetu wengi wanazingua. Hivi vigari vyenye electric steering vinawasumbua saana. Kikiwasha taa wengi wao wanazima sensor tu.
Na linakunywa mafuta haswaFirst time ninasikia about RS6 nilishangaa kweli. Wagon yenye performance ya super car, duu! Niliwakubali saana hawa jamaa.
Laiti wangejua faida ya smartphones kwa upande wa kuelimisha wangefika mbali mkuuKabisa yaani. Kuna watu hata Google hawajui kutumia, kila kitu wanakitafuta Instagram. Sasa ku scroll hizo picha pamka upate unachotafuta, lazima siku nzima iishie hapo.
Aise, maana lile dude ni kubwa, so lazima litakuwa zito. Kuweza kutimka mbio kiasi kile, unywaji wake wa mafuta mmh! I can only imagine.Na linakunywa mafuta haswa
Hiyo engine ni kiboko
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
@ black sniper, huwa inanifurahisha saana mtu ana latest smartphone ina uwezo mkubwa, ila kazi anazofanyia utabaki umeduwaa tu.Laiti wangejua faida ya smartphones kwa upande wa kuelimisha wangefika mbali mkuu
Ni fb ig na snapchat tu
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ni zito na linakimbia kweli ila na mafuta unaangalia inavyoisha kwa blink tuAise, maana lile dude ni kubwa, so lazima litakuwa zito. Kuweza kutimka mbio kiasi kile, unywaji wake wa mafuta mmh! I can only imagine.
Ni aibu sana bro@ black sniper, huwa inanifurahisha saana mtu ana latest smartphone ina uwezo mkubwa, ila kazi anazofanyia utabaki umeduwaa tu.