2020/21 VPL wapi watakuwa makocha wa kwanza kuondoka?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Msimu uliopita tuliona kwenye mechi 2 za kwanza alience walimfukuza kocha
Mechi ya tatu mbao wakamfukuza kocha
Mechi ya 6 utopolo wakamtimua zahera
Mechi ya 7 simba wakamalzana na Ausem

Tupia utabiri wako tano wa kwanza kufungashiwa virago vpl msimu huu
Kwangu ni
Mbwana makata Dodoma fc
Mkwasa. Ruvu
Amri said. Mbeya city
Mgunda. Coastal u
Na yule wa yanga
 
Yule wa Simba Sven
Akishindwa unganisha timu ikaleta +ve impact hawata mvumulia
So far nadhani wamemwongeza mkataba mfupi
 
Hakuna atakayemtangulia huyu kocha wa Simba maarufu kama Kishingo kuondoka, hata washabiki japo timu inashinda ila tumemchoka.
Tunaamini mafanikio aliyo nayo hayatokani na ubora wake bali ubora wa wachezaji.
 
Zuberi Katwila safari hii Mtibwa hawatamvumilia mpaka dakika za mwisho kama ilivyokuwa msimu ulioisha! Pamoja na kuboronga Mtibwa hawajafanya usajili wa maana!
 
Zuberi Katwila safari hii Mtibwa hawatamvumilia mpaka dakika za mwisho kama ilivyokuwa msimu ulioisha! Pamoja na kuboronga Mtibwa hawajafanya usajili wa maana!
Wameenda Zanzibar wakaachukua top level players bila kumsahau Kessy
 
Yule wa Simba Sven
Akishindwa unganisha timu ikaleta +ve impact hawata mvumulia
So far nadhani wamemwongeza mkataba mfupi
Anaunganishaje timu? Bila shaka hujui football. Simba haijaondoa wachezaji kiasi cha kubadilisha kikosi na chemistry ya team. LABDA KULE UPANDE WA MANYANI FC
 
Anaunganishaje timu? Bila shaka hujui football. Simba haijaondoa wachezaji kiasi cha kubadilisha kikosi na chemistry ya team. LABDA KULE UPANDE WA MANYANI FC
Kweli mimi sijui mpira mkuu wwe unaejua
Niambie kama 4 3 3 inayotumia simba ikikutana na mpinzani mwenye 3 5 2 huoni wanakuwa exposed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…