Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
2020 Elections Chapter sasa imefungwa. Kazi ya ujenzi wa utaifa iendelee!
December 9, 2020, taifa letu litasherehekea miaka 59 ya uhuru. Katika hicho kipindi cha miaka 59, waasisi wa taifa hili na viongozi waliofuatia, kwa wakati tofauti, wametoa mchango muhimu katika ujenzi wa taifa letu. Hakuna shaka kwamba, kama taifa, tumetoka mbali. Moja ya mafanikio makubwa yaliyopatikana ni kujengeka kwa jamii ya watu wamoja. Umoja wetu ndio umekuwa msingi imara wa taifa letu.
Pamoja na mafanikio yaliyopatikana, hatuna budi kukubali kwamba juhudi zetu za kujipatia uhuru wa kiuchumi (economic independence) zimekuwa very slow. Yapo mataifa kadhaa ambayo tulikuwa nayo kwenye club moja ya kiuchumi wakati wa miaka ya kwanza ya uhuru wetu, lakini leo yametuacha mbali sana. Moja ya sababu ya sisi kuendelea kubaki kwenye club ya nchi zisizo na uhuru wa kiuchumi huku wenzetu wakihamia club zenye uhuru wa kiuchumi ni utamaduni uliosheheni laidbackness and free rein. Viongozi wetu wengi hawakufanikiwa kupambana na huu utamaduni mbaya kwa nguvu kubwa na yenye uthubutu kama ile ambayo jemedari wetu JPM ameitumia baada ya kushika hatamu. Kwayo tumeshuhudia a huge disruption of that entrenched culture!
I can unapologetically argue that this country has been long overdue for the no nonsense leadership style of JPM. We need a leader who can not only deliver a tough love, but also do so with consistency and persistency. Tunataka kiongozi ambaye analipa swala la ujenzi wa taifa an undivided attention. Hatuna muda wa kupoteza tukibembelezana hapa na pale. Kazi ya kujenga taifa letu lazima tuifanye kama vile hatuna siku nyingine inayokuja. Hakuna mtu wa nje atakayekuja kutujengea taifa letu; we’re on our own. Tulibembelezana kwa miaka mingi ya uhuru wetu na kufanya hivyo kumetugharimu. That’s enough!
Mtu anayeijua vizuri nchi yetu anatambua kuwa urefu wa planning horizon ya Mtanzania wa kawaida anayeishi mjini, ni just several hours. Akiamka, hajui hela ya chakula cha jioni itapatikana wapi. Mara nyingi anaishi kwa milo miwili au mmoja kwa siku. Pamoja na uhalisia huu, bado linajitokeza genge la wahuni fulani kupokea coaching na ushauri (kutoka kwa political mercenary) wa kuingiza watu barabarani kwa maandamano yasiyokuwa na mwisho. Wao, bila kutumia hata robo tu ya brains zao, wanaona wamepewa ushauri bora kabisa. Huhitaji kuwa brain surgeon au community safety expert kujua kwamba ni upuuzi mkubwa na hatari kumuingiza barabarani (kwa maandamano yasiyokuwa na mwisho) mtu ambaye hata food security yake ni karibu na zero. Hakuna shaka kwamba hayo maandano yasiyokuwa na mwisho ni recipe ya riots ambazo zitatengeneza mazingira mazuri kwa desperate people kufanya uporaji ili wapate milo yao ya siku. Kwa kutumia mfano mwingine mwepesi, tuliosoma boarding schools tunajua kwamba hakuna mgomo unaohusisha kugoma kula unaoweza kudumu kwa zaidi ya siku moja na ukaisha salama. Lazima huishia kwenye riots. Hata kama hayo maandano yangehusisha wale ambao wana uhakika wa chakula, kuingia kwao barabarani kwa maandamano yasiyokuwa na mwisho ni kusababisha disruption ya shughuli za watu wanaojitafutia milo yao ya kila siku.
Logically, kama taifa liliona haikuwa busara kufanya disruption ya shughuli za watu kwa kufanya lockdown wakati wa pandemic, vile vile haiwezi kuwa busara kuruhusu disruption ya shughuli za watu kwa maandamano yasiyokuwa na mwisho. Bob Amsterdam alitoa huo ushauri kwa makusudi. Destabilizing the country has all along been his key strategy. We must unequivocally say no to that nonsense!
By the way, hata wazungu hawakufanya huu upuuzi wakati wakiwa kwenye stage kama yetu ya ujenzi wa nchi zao. Kifikra, tunafanya kosa kwa kuziangalia nchi zilizoendelea with a focus only on their current states. Hatujihangaishi kujua zimetoka wapi na zimepitia maisha gani. Kuna wakati wao waliona hata manpower iliyokuwepo ilikuwa haitoshi, wakaamua kuchukua watumwa kutoka Africa.
JPM should keep up the good and continue to deliver the tough love that we need. We shouldn’t be treated as a spoiled child. I hope we get another no nonsense leader when JPM completes his second and final term of his presidency! There’s no need to give in to pressure to entertain destructive protests.