minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Rudi shule kajifundishe kuandika Kingereza..
Watu wanasononeka saa 24 kila siku hawana Amani wameporwa haki za kuchagua kwa njia haramu za kishetani, NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm hawana huruma na wapiga kura wameamuaa kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi bila kumuogopa mungu'JPM preachers hop' hapa umemaanisha nini?..ulitakiwa uandike ..'JPM preaches hope'
Anyway,huwezi kumuelimisha na kumboresha mwananchi kwa njia, ya uongo,kwa kumdanganya
Kama mwananchi amejawa na huzuni na majonzi Katika maisha take hatoweza kuchapa kazi,kuleta maendeleo katika maisha yake na TAIFA kwa jumla
Unawambia mwananchi Nchi yetu tajiri lakini mlo mmoja wa kula na familia yake unamshinda.. ridiculous