Uchaguzi 2020 2020 Elections Chapter sasa imefungwa. Kazi ya ujenzi wa Taifa iendelee!

Kinachowashinda wewe na wengine wanaoleta hoja mfu, ni kushindwa kuleta ushahidi. Huwezi kusema mtu fulani mwizi na hujamshika na mali yoyote ya wizi. Ingependeza kama ungeleta ushahidi kama mtumishi wa serikali au kiongozi yoyote yule amehusika aidha kwa kutoa amri au yeye mwenyewe kuhusika moja kwa moja na upoteaji wa wanahabari, ungeweza kueleweka. Na ndio hivi hivi upinzani mnapenda kutangaza uwongo na watu wengine ishia kuamini kama maneno ya kweli. Umesema mwenyewe, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, basi na nyinyi mseme ukweli.
 

There’ll always be free riders. Feel free to be one of them. Ambao tuna mapenzi ya dhati na taifa letu na tuna uwezo wa kufanya kazi, tutalijenga kwa mapenzi yote!
 
Andiko kutoka kwa PhD holder wa utopolo! Yamebaki kulamba makalio ya John! Kazi kweli kweli!

Ninawajua vizuri sana blind followers wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema). Yaani hapo ndiyo umefikiria mpaka ukafikia ukomo wako wa kufikiria.

Kwa kweli mnahitaji kuombewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…