2020 haikua mbaya sana, kama bado unapumua ni zawadi tosha

2020 haikua mbaya sana, kama bado unapumua ni zawadi tosha

Cvez

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
4,405
Reaction score
13,411
2020 ulikua ni mwaka wenye majaribu mengi sana. Kiuchumi huu mwaka umechapa sana, wakazi wa Arusha, Bagamoyo na Zanzibar wanaweza toa ushuhuda.

Nililojifunza mwaka huu kumbe mask kwa kiswahili inaitwa barakoa.
 
Back
Top Bottom