Uchaguzi 2020 2020 itakuwa nyimbo ipi na sare zipi?

Jinsi ulivyo rahisisha utafakiri unaandaa sare kwenda kitchen part . Hii nchi imekuwa ya hovyo Sana.
 
Hakuna uchaguzi mwaka huu ila kutakuwa na matangazo tu ya washindi waliopita bila kupingwa au walioshinda kwa kupitishwa na tume siyo kura. wewe mwaka jana wakati wa serikali za mitaa hukuona kilichotokea? Na si umesikia wameshatangaza kuwa wembe ni ule ule?
 
Jinsi ulivyo rahisisha utafakiri unaandaa sare kwenda kitchen part . Hii nchi imekuwa ya hovyo Sana.

Eti ovyo.. acha wivu
Subiri utaziona tu zikivaliwa.. na sitiresi zako zitaongezeka.. bora ubadilike mapemaaa
 

Kama unamaanisha upinzani kususa watajiju, ila fahamu viongozi wa upinzani wao ni pesa kwanza.. hivyo hawatakaa waache kutafuta kura.. mkiwafata mtapotezwa kama mwaka jana wa chini wakajitoa wa juu bado wanakula bata tamu na vyeo vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…