cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
- Thread starter
- #61
😀
Uzuri ni kwamba munanielewa sawasawa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa kucheza rafuNa ndivyo itakavyokuwa 2020.
Hakuna uchaguzi mwaka huu ila kutakuwa na matangazo tu ya washindi waliopita bila kupingwa au walioshinda kwa kupitishwa na tume siyo kura. wewe mwaka jana wakati wa serikali za mitaa hukuona kilichotokea? Na si umesikia wameshatangaza kuwa wembe ni ule ule?Salamu tele kwenu,
Nikiwa kama mdau wa humu ndani naomba mniambie ni muziki upi unatupeleka kwa Uchaguzi 2020, na pia mavazi yatakuwa ya khanga au vitenge.
Mimi nakumbuka sana ile muziki wa 2015 ilikuwa mtamu sana sana kuburudika. Yule mkaka anakatika sana kwa baada ya kampeni moja na kura mutu tukamchagua. Mnikumbushe basi alivaa rangi gani pia.
Smile 😊
Mwananchi,
Cocochanel
Jinsi ulivyo rahisisha utafakiri unaandaa sare kwenda kitchen part . Hii nchi imekuwa ya hovyo Sana.
Hakuna uchaguzi mwaka huu ila kutakuwa na matangazo tu ya washindi waliopita bila kupingwa au walioshinda kwa kupitishwa na tume siyo kura. wewe mwaka jana wakati wa serikali za mitaa hukuona kilichotokea? Na si umesikia wameshatangaza kuwa wembe ni ule ule?
Mbona unaandika Kama ndio unajifunza kiswahili.Eti ovyo.. acha wivu
Subiri utaziona tu zikivaliwa.. na sitiresi zako zitaongezeka.. bora ubadilike mapemaaa
Mbona unaandika Kama ndio unajifunza kiswahili.