cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
- Thread starter
- #41
Muda si mrefu naenda kwenye kijiwe cha mtaa kunywa kahawa. Pamoja na watu wengine watakuwepo aliyekuwa mwenyekiti wa mtaa wetu kutoka Chadema na aliyekuwa mwenyekiti wa mtaa jirani kutoka Chadema. Tunapoongea, hawaamini kama unavyoamini wewe. Kwa tahadhali tu, jamaa hawa wamebeba mengi vifuani. Wanasubiri Oktoba, 2020.
Wapewe nafasi pana tuwasikie.