chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Ni mawazo na kutafakari tu! kuna muda unaweza ukapata majibu hata mtaani au maeneo yoyote kila mtu ni mkimya. Sio kimya wa mambo mengine ni ule ukimya ambao leo uwezi kujifanya kimbelembele kuanzia waandishi wa habari, Mwananchi, Mitandao ya kijamii wa wanasiasa na siasa zao.
wimbi kubwa limekubali kuwa kama yale tunayo soma kwenye kitabu cha nchi ya kusadikika. Ni mengi sana yamefanya kwa nini watu wamekuwa wakimya.
Je, dalili ndio hizo ninazo zitafakari 2020?
wimbi kubwa limekubali kuwa kama yale tunayo soma kwenye kitabu cha nchi ya kusadikika. Ni mengi sana yamefanya kwa nini watu wamekuwa wakimya.
Je, dalili ndio hizo ninazo zitafakari 2020?