babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
mmoja wapo mimi sitashiriki uchaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wapiga kura mkipungua ndio vizuri. Rais wa nchi kubwa kama Marekani huchaguliwa na watu wachache tu wenye uelewa. Kwani kuna shida gani kama mbumbumbu wengi hawatapiga kura ?Ni mawazo na kutafakari tu! kuna muda unaweza ukapata majibu hata mtaani au maeneo yoyote kila mtu ni mkimya. Sio kimya wa mambo mengine ni ule ukimya ambao leo uwezi kujifanya kimbelembele kuanzia waandishi wa habari, Mwananchi, Mitandao ya kijamii wa wanasiasa na siasa zao.
wimbi kubwa limekubali kuwa kama yale tunayo soma kwenye kitabu cha nchi ya kusadikika. Ni mengi sana yamefanya kwa nini watu wamekuwa wakimya.
Je, dalili ndio hizo ninazo zitafakari 2020?
Na mimi naomba wawe kidogo hasa wale wa UKAWA kwa ujumla wao. Lakini sisi wengine tutajitokeza kwa wingi kupiga kura.Ni mawazo na kutafakari tu! kuna muda unaweza ukapata majibu hata mtaani au maeneo yoyote kila mtu ni mkimya. Sio kimya wa mambo mengine ni ule ukimya ambao leo uwezi kujifanya kimbelembele kuanzia waandishi wa habari, Mwananchi, Mitandao ya kijamii wa wanasiasa na siasa zao.
wimbi kubwa limekubali kuwa kama yale tunayo soma kwenye kitabu cha nchi ya kusadikika. Ni mengi sana yamefanya kwa nini watu wamekuwa wakimya.
Je, dalili ndio hizo ninazo zitafakari 2020?
Fafanua kidogo ili na mie hasira ziwake.Ccm imeniuzi Sana kwenye alama za vidole tukutane kwenye kupiga kura[emoji34][emoji34]
Mimi hata kujiandikisha siendi 😀😀Hata kama nimekosa kazi za kufanya ni heri nilale nyumbani kuuchapa usingizi nijenge mwili wangu kuliko kushiriki uchaguzi wa kiini macho.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo yule mnaye mtaka hamtampigia kura .. sasa atashindajeAnayeharibu chaguzi zetu anafahamika kwa kudhani anapendwa. Baada ya kuona hana uungwaji mkono anaoutamani anaona bora atumie madaraka yake kunajisi chaguzi zetu. Watu wote wanaojitambua hawatashiriki uchaguzi huo. Watakaojitokeza kupiga kura ni wale wanufaika wamfumo usioamini ushindani wa kweli.
Aisii hii comment iko vizuri sana kiufupi umehitimisha mjadala.Viongozi tulionao ni zao LA jamii yetu, tukiambiwa na waliotutangulia kustaarabika kwamba tuache ukatili twawaita mabeberu, lakini hawa viongozi walipigwa sana mashuleni, walionewa sana na wazazi, waliishi katika familia zilizofalakana, sasa wanalipiza, pamoja na kwamba wanaweza kuwa hawajui kama wanalipiza, ndivyo waafrika tulivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo yule mnaye mtaka hamtampigia kura .. sasa atashindaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu fumbo unamfumbia nani?Ni mawazo na kutafakari tu! kuna muda unaweza ukapata majibu hata mtaani au maeneo yoyote kila mtu ni mkimya. Sio kimya wa mambo mengine ni ule ukimya ambao leo uwezi kujifanya kimbelembele kuanzia waandishi wa habari, Mwananchi, Mitandao ya kijamii wa wanasiasa na siasa zao.
wimbi kubwa limekubali kuwa kama yale tunayo soma kwenye kitabu cha nchi ya kusadikika. Ni mengi sana yamefanya kwa nini watu wamekuwa wakimya.
Je, dalili ndio hizo ninazo zitafakari 2020?
Hii haisaidii kitu.Nitamshangaa Mtanzania atakaye enda kupiga kura 2020 maana tayari matokeo yanajulikana, mtanzania atakaye jipanga foleni kupiga kura zitakuwa hazimtoshi.
Sent using Jamii Forums mobile app