Na baada ya uchaguzi ndio unakua mstari wa mbele kukosoa viongozi walio chaguliwa ! Shiriki uchaguzi upate uhalali wa kupigia kelele viongozi watakao zembea ambao hukuwachagua !!!Hata kama nimekosa kazi za kufanya ni heri nilale nyumbani kuuchapa usingizi nijenge mwili wangu kuliko kushiriki uchaguzi wa kiini macho.
Why participate in sham election? Everything is already predetermine. Wakati mwingine nasema bora enzi za chama kimoja watu walikuwa na haki ya kuchagua mtu wanayemtaka. Miaka ile chama ni kimoja lakini kampeni zilikuwa kabambe
Na baada ya uchaguzi ndio unakua mstari wa mbele kukosoa viongozi walio chaguliwa ! Shiriki uchaguzi upate uhalali wa kupigia kelele viongozi watakao zembea ambao hukuwachagua !!!
tindo, kwani ni lazima kweli kutukana unapo changia hoja ? Daa ! Haya bana 🙏Kukosoa mtu ni lazima uwe umemchagua? Kiongozi yoyote anayelipwa kwa fedha ya umma anaweza kukosolewa kwa kutotimiza wajibu unaomfanya alipwe. Ni hivi, hakuna mtu mwenye akili timamu na nywele zake sehemu za siri, atasimama kwenye mstari kupiga kura ambazo kuna mtu mwenye madaraka anaamua nani awe kiongozi. Yule anayeridhika na mwenendo wa chaguzi zetu anaruhusiwa kwenda kupiga kura, lakini yoyote anayejua ni upuuzi ni mwiko kushiriki uhuni.
Hata tukimsimamisha mzee wa meno ya Tembo kupeperusha bendera yetu?Hata kama nimekosa kazi za kufanya ni heri nilale nyumbani kuuchapa usingizi nijenge mwili wangu kuliko kushiriki uchaguzi wa kiini macho.
Unategemea mtu aliyetembea kilometa 15 kufuata elimu akishindia kiporo cha viazi mambo mengine kayakutia ukubwani mjini atashindwa vipi kuwa na jealous ndo tunawaona wakisumbua watu maofisini na vyuoni watungao mitihani migumu kukomoa studentViongozi tulionao ni zao LA jamii yetu, tukiambiwa na waliotutangulia kustaarabika kwamba tuache ukatili twawaita mabeberu, lakini hawa viongozi walipigwa sana mashuleni, walionewa sana na wazazi, waliishi katika familia zilizofalakana, sasa wanalipiza, pamoja na kwamba wanaweza kuwa hawajui kama wanalipiza, ndivyo waafrika tulivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Viongozi wazuri hawatapewa nafasi ya kuchukua form au kurudisha form zao na serekali ya CCM,na hiki ndicho kinachonifanya nishindwe kushiriki uchaguzi na nitaendelea kuwalalamikia na kuwakosoa viongozi,kwa kuwa ni viongozi wasiokuwa na waledi kwa kuwa ni viongozi wa kupachikwa na kutangazwa na CCM pasipo kuchaguliwa na wapiga kura.Na baada ya uchaguzi ndio unakua mstari wa mbele kukosoa viongozi walio chaguliwa ! Shiriki uchaguzi upate uhalali wa kupigia kelele viongozi watakao zembea ambao hukuwachagua !!!
Mkimsimamisha huyo ndo nitashangilia kabisa kwa kuwa nitawahi kwenye maghala yake kuuza vipusa vyake niendelee kujenga mwili wangu wakati yeye yuko kuhangaika na kampeni zake za kutafuta kura.Hata tukimsimamisha mzee wa meno ya Tembo kupeperusha bendera yetu?
Please kamanda!