Hata kama utapigia ng'ombe Rais ni Magufuli fullstop.Ingawa nina kadi ya CCM na MwanCCM damu, nakiri kwamba mwaka huu tofauti na miaka mingine, lazima nimpigie Kura Tundu Lissu. Rais tuliyemchagua ameniangusha na sitaki tena kufanya kosa. Lazima nitumie haki yangu kuchagua kiongozi asiyebagua watu kutokana na matabaka yao. Naandika huu uzi nikiwaza magumu tuliyopitia miaka hii mitano ya Magufuli.
Ndugu, baada ya Chadema kuwapa raha watanzania leo naona morali imeamka mara 100. Lazima tupige kura mwaka huu kumuondoa huyu Mkoloni mweusi CCMIngawa nina kadi ya CCM na MwanCCM damu, nakiri kwamba mwaka huu tofauti na miaka mingine, lazima nimpigie Kura Tundu Lissu. Rais tuliyemchagua ameniangusha na sitaki tena kufanya kosa. Lazima nitumie haki yangu kuchagua kiongozi asiyebagua watu kutokana na matabaka yao. Naandika huu uzi nikiwaza magumu tuliyopitia miaka hii mitano ya Magufuli.
Ingawa nina kadi ya CCM na MwanCCM damu, nakiri kwamba mwaka huu tofauti na miaka mingine, lazima nimpigie Kura Tundu Lissu.
Rais tuliyemchagua ameniangusha na sitaki tena kufanya kosa. Lazima nitumie haki yangu kuchagua kiongozi asiyebagua watu kutokana na matabaka yao.
Naandika huu uzi nikiwaza magumu tuliyopitia miaka hii mitano ya Magufuli.
Hakika, Mimi binafsi na familia yangu nimepitia magumu sana ndani ya utawala huu. Leo nina furaha sana, CDM toeni accounts za kuchangia fedha za kampeni nianze kuweka hela usiku huu.Ingawa nina kadi ya CCM na MwanCCM damu, nakiri kwamba mwaka huu tofauti na miaka mingine, lazima nimpigie Kura Tundu Lissu.
Rais tuliyemchagua ameniangusha na sitaki tena kufanya kosa. Lazima nitumie haki yangu kuchagua kiongozi asiyebagua watu kutokana na matabaka yao.
Naandika huu uzi nikiwaza magumu tuliyopitia miaka hii mitano ya Magufuli.