2020 msiache kupiga kura

2020 msiache kupiga kura

asuuu

Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
14
Reaction score
23
*Ivi kama juzi ilikua 2016*
*jana* ni 2017*
*Ivi leo si itakua 2018*
* kesho itakua 2019*
*Halafu keshokutwa itakua 2020... *tutaenda kupiga kura tena etieeee*[emoji134]‍♂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji51]
 
Na watanzania tudai tume huru ya uchaguzi.
Watumishi stahiki zao wamedhulumiwa, madai ya mishahara na malimbikizo.
Toeni elimu na kuikataa ccm kabisa 2020
 
Back
Top Bottom