Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hawezi siasa maana yeye ni mtu wa facts. Na siasa inabidi uwe muongo. Si unaona Baba Magufuli kipindi cha Kampeni alisema Waandishi wa habari wanateseka sana. Ila baada ya kuwa madarakani aliwaambia waandishi wa habari kuwa kuna mipaka katika uandishi wao.Asad akiingia siasa, ataokotwa kwenye fukwe day 2, mwacheni mzee wa watu.