Uchaguzi 2020 2020 Urais: Twende na Prof. Assad

Asad akiingia siasa, ataokotwa kwenye fukwe day 2, mwacheni mzee wa watu.
Hawezi siasa maana yeye ni mtu wa facts. Na siasa inabidi uwe muongo. Si unaona Baba Magufuli kipindi cha Kampeni alisema Waandishi wa habari wanateseka sana. Ila baada ya kuwa madarakani aliwaambia waandishi wa habari kuwa kuna mipaka katika uandishi wao.
 
Khaa!! Sio Membe tena!!!!!!!!
 
Enzi wa jk alifichua madudu sector ipi wadau?
Yawezekana nimemjua mwaka huu.
 
Atagombea kwa chama gani? Assume atagombea kwa chadema hivi kwa tz yetu bado tuna imani pana chama kitaitoa ccm magogoni?? Hakuna na hakitatokea wataoitoa ccm madarakan watakuwa ccm wenyew sio labda wafarakane na kugawanyika japo sio jambo rahisi
 
Katiba haimruhusu CAG kugombea nafasi ya Urais
 
Uzuri Àssad sio mjinga kama unavyodhani mlivyo ufipa.
 
Prof Assad nimekubali sana anasema kwamba hajui kwamba kuna mtu mwingine ameteuliwa na yeye hana taarifa kwasababu hajabata terminatio yeyote.
 
Shetani stole na yeyote.nitamuunga mkono
Kupitia nduli hatuhitaki malaika2 hata shetani ataruhusiwa
 
Duh, Ila tuwe wakweli Magufuli katuonyesha sura yake halisi kwenye vita ya ufisadi kwamba ni mwizi.
 
Wewe dada uishie kukuna Nazi tu kitendo cha mtu kuwa CAG hata kwa siku Moja akatoka akarudi basi hatofanya kazi yoyote serikalini
 
Miiko ya mdhibiti mkuu na mkaguzi wa hesabu za serimali akimaliza muda wake hawezi kushika nafasi yeyote ya uongozi katika jamuhuri ya muungano wa tanzania . Hayo ni mtakwa ya kikatiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…