Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #2,301
Foward yao ndo butu.wanapiga vishoot kama vya mtoto wakati ilo ligolikeepr liko vizuri.Ivory Coast wanabeki bora sana.
Warabu wamezidiwa hata pass kumi wanashindwa kufikisha
ngoja tuone alieingiaFoward yao ndo butu.wanapiga vishoot kama vya mtoto wakati ilo ligolikeepr liko vizuri.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyu refa siyo wa mchongo,mpira umechezwa vizuri hamna card za hovyo na VAR
Ila pia hawa wako vizuri ,naona kila timu haitaki matuta kila mtu anataka amfunge mwenzakeRefa kaweka mizani sawa ila nimegundua Afcon kwa Giants hawafanyi chochote ila kwa Timu ndogo wanazionea ili mashindano Yapate jina maana Wazungu walisha aanza chokochoko so Wameona Wachezaji wa Ulaya hawatoshi Bora wazipambanishe timu kubwa kubwa
Ivory Coast byebye [emoji112][emoji112]
Ngoja tuone maana naona ivory coast watabutua.Mikwaju ya penati sasa