2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Huyu refa siyo wa mchongo,mpira umechezwa vizuri hamna card za hovyo na VAR

Refa kaweka mizani sawa ila nimegundua Afcon kwa Giants hawafanyi chochote ila kwa Timu ndogo wanazionea ili mashindano Yapate jina maana Wazungu walisha aanza chokochoko so Wameona Wachezaji wa Ulaya hawatoshi Bora wazipambanishe timu kubwa kubwa
 
Ila pia hawa wako vizuri ,naona kila timu haitaki matuta kila mtu anataka amfunge mwenzake
 
Back
Top Bottom