2021 AFCON Special Thread

Tunisia walimuotea tu Nigeria.
Kumbuka kwenye group walichezea Match 2 wakapita kama Best Loser
 
Tunisia wana nuksi sana maana hata match yao ya kwanza mpira ulimalizwa dk ya 85 baadae dk ya 89.
Leo zimeongezwa 4 kamaliza dk ya 3 na sekunde 44.
[emoji28][emoji28]
Tuhamie kwa Morocco au Misri?...maana lazima mmoja atoke.
 
Leo kama ni kibeti timu zangu zote zimepita Cameroon na Burkna Faso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…