2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Sema yote 9, Burkina Faso nidhamu yao ipo chini sana.....jana walipata kazi nyingi zinazoepukika....

Ngoja tuone next game labda ni tension ya mechi ya jana.

Jana nilisema mwanzo kuwa Hawa Burkina Faso Kiutani Utani Haya Mashindano Anafika Fainali, Tusubiri tuoneee
 
IMG_4464.jpg
 
Back
Top Bottom