Match ngumu sana hii.Kwanini EGYPT Vs MOROCCO inachezwa saa 12 jioni na sio saa 1 kama match nyingine zilivyochezwa?
Sema yote 9, Burkina Faso nidhamu yao ipo chini sana.....jana walipata kazi nyingi zinazoepukika....
Ngoja tuone next game labda ni tension ya mechi ya jana.
We utakua mshabiki wa Liverpool unataka Mo Salah arudi England.Hawa Waarabu Sina Timu, Yeyote atakaye pigwa sawa, Ila Egypt Akipigwa Itapendeza Zaidi
Leo umegeuka raia wa Morocco kisa wameahidi kutujengea uwanja huko Dodoma?Safi sana bado senegal roho yangu itulie
Hii mechi inaweza ikazalisha red card