Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #221
Sema na umri ndio unamtupa mkonoAh kitasa hayupo tena jamani...dah. bonge moja la beki sema ubaguzi tuu but he deserves to be at manchester united na sio yule maguire
Labda bado wanasomanaQuality ya mpira bado sijaridhika nayo mpaka sasa
Wapi hukoMtanange ni saa 10 lakini leo Tanesco wametukatili huku kwetu hakuna umeme
ItilimaWapi huko
Hahaha hiyo line yenu inatoka Shinyanga hali mbaya sana.Itilima
LabdaLabda bado wanasomana
Huyu bwana mwaka ule bwana mafegi sarri yupo napoli ndio alikuwa at his peak...hatari!Sema na umri ndio unamtupa mkono
Moja ya timu bora haswa za Napoli baada ya zama za akina Diego Armando Maradona kwa mujibu wa wachambuzi wa Seria AHuyu bwana mwaka ule bwana mafegi sarri yupo napoli ndio alikuwa at his peak...hatari!
Ile timu sitaisahau kabisa jamaa alitengeneza timu unapenda kuangalia mechi zake.
Midfield trio ya jorginho, hamsik na zielinski. Pembeni yupo insigne calejon alafu kati mzee mwenyewe mertens...ukisikia napoli anacheza unasahau ata suala la kwenda kugeggeda. Timu haikushinda scudetto but it certainly kept us entertained.
Yaani acha kabisa pale sarri alitengeneza timu bwana....yaani ulishawahi kuangalia mechi unaparaha raha mpaka unapata orgasm. Sasa mechi ya kibabe ilipigwa etihad dhidi ya man city champions league...one of the best tactical games ever witnessed. Two tactical geniuses going head to head kila mmoja kajaribu kumzidi mwenzie kimbinu. Just brilliant!Moja ya timu bora haswa za Napoli baada ya zama za akina Diego Armando Maradona kwa mujibu wa wachambuzi wa Seria A
Tumemsahau Allan kwenye MidfieldYaani acha kabisa pale sarri alitengeneza timu bwana....yaani ulishawahi kuangalia mechi unaparaha raha mpaka unapata orgasm. Sasa mechi ya kibabe ilipigwa etihad dhidi ya man city champions league...one of the best tactical games ever witnessed. Two tactical geniuses going head to head kila mmoja kajaribu kumzidi mwenzie kimbinu. Just brilliant!
ounas ni mu Algeria, alimkimbiza zimbwe , zimbwe akakata upepoKuna winger mmoja anacheza napoli adam ounas ni balaaa huyo leo kuna fullback wa ghana atatoa ulimi nje