2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Kampuni ya New Balance imetengeneza viatu maalum kwa ajili ya Sadio Mane kwenye Afcon🔥

DDD1FFCC-B5B0-46EC-8EDE-FB5F70B0CCA7.jpeg

B286F3E5-238E-46F5-851B-0EE141D54563.jpeg
 
Sema na umri ndio unamtupa mkono
Huyu bwana mwaka ule bwana mafegi sarri yupo napoli ndio alikuwa at his peak...hatari!
Ile timu sitaisahau kabisa jamaa alitengeneza timu unapenda kuangalia mechi zake.

Midfield trio ya jorginho, hamsik na zielinski. Pembeni yupo insigne calejon alafu kati mzee mwenyewe mertens...ukisikia napoli anacheza unasahau ata suala la kwenda kugeggeda. Timu haikushinda scudetto but it certainly kept us entertained.
 
Moja ya timu bora haswa za Napoli baada ya zama za akina Diego Armando Maradona kwa mujibu wa wachambuzi wa Seria A
 
Yaani acha kabisa pale sarri alitengeneza timu bwana....yaani ulishawahi kuangalia mechi unaparaha raha mpaka unapata orgasm. Sasa mechi ya kibabe ilipigwa etihad dhidi ya man city champions league...one of the best tactical games ever witnessed. Two tactical geniuses going head to head kila mmoja kajaribu kumzidi mwenzie kimbinu. Just brilliant!
 
Tumemsahau Allan kwenye Midfield
 
Back
Top Bottom