Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #2,601
Yaah anajitajidiRefa kaamua atumie busara
Mechi ipi ya Afcon waliyogomea mkuu?Waarabu ukiwapa red card wanagomea mechi Wana ufala Fulani.
Mimi napenda nione wakienda extra time hii battle isiishe dk 90Mechi inaelekea inaweza ikaisha 1-1 tukaenda extra time
HahahahEgypt kuna watoto wazuri jamani