Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #2,761
North Africans mara nyingi wanajiona sio Africans..., Hizo timu huwa nazishabikia World Cup tu ila sio African Nations; Na historically waarabu walikuwa na gamemanships sana; Huu Upuuzi wanaofanya Cameroon sasa Waarabu ndio ilikuwa tabia zao...
timu Za kiarabu huwa zina tabia mbovu sana ya kutafutia wenzio kadi
Paul Scholes alikuwa anapiga pasi za mita 60 mpaka 70 na pasi inamfikia mtu mguuni🙌🏻Nimecheza mpira katika level ndogo sana. Lakini kitu ambacho sijawahi kushindwa ni kupiga pasi. Nilikuwa na uwezo wa kufikisha mpira popote pale. Role model wangu walikuwa Scholes, Balack, Carrick..
Najiuliza wachezaji wengi wanapoteza pasi kirahisi kabisa wakati ni wajuzi wa kazi yao.
Wamejitahidi sana.Mashabiki waliohudhuri mechi hii ni 17,262
Naona mko vizuriSenegal tujuane hapa
Ungekuwa unafuatilia world affairs nchi za North Africa zinapenda kuji-identify kama middle East rather than AfricaSasa kama wao wanajiona co afrikans ingawa hakuna ukweli ukisemacho ila umeckia kama co kwenye kahawa hukoo namashaka 🤣
Kwahio sio Africans ?, Egypt ni Africa kutokana kwamba wanatoka bara la Africa sasa hapa sielewi unataka kusema nini ila ukweli ni kwamba the identify themselves as middle eastern (most anyway)wao co waafrika sasa mzee unataka wajiite waafrika,
Sasa chuki imetoka wapi nimesema kwenye world stage ninaji-identify zaidi na Egypt ila African Nations kwanza nashabikia East and Central alafu Western kabla ya Northern hapo tatizo lipo wapi naona unakuwa emotional kuhusu gamemanship labda kama umeanza kufuatilia mpira juzi ila timu za Arabuni ulikuwa ukienda kwao figisu ni mwanzo mwisho that is well knownakili za wapi hizo mzee!!!! Kama co chuki ni nini mzee 🤣
Ukweli ni kwamba soka la Arabuni limeshuka sio kama hapo awali na world stage Northern African Teams hazijawahi kupeform zaidi ya western team (that's a fact) huenda ni aina ya mchezo wao wakikutana na timu za ulaya huwa hawana majibu....haya endelea kukariri tu, wakati wenze2 wanaendelea kutwaa vikombe na ligi zao kuwa bora wewe endelea na makasiriko.
Hivi Ivory Coast bado ipo? Maana hata sijafuatilia michuano duu