2021 AFCON Special Thread

UBAGUZI UNAWATESA SANA WATU WEUSI, ni wabaguzi wakupindukia aisee
 
Mtu kufarahia timu kudondoshwa tayari mbaguzi[emoji50][emoji50][emoji50] basi wacha tuwashabikie wote[emoji4][emoji4]
 
Mtu kufarahia timu kudondoshwa tayari mbaguzi[emoji50][emoji50][emoji50] basi wacha tuwashabikie wote[emoji4][emoji4]

Hapana, labda kama umeanzia kusoma njiani,ubaguzi bado upo. Naweza kusema waafrika ndio wanaongoza kwa ubaguzi duniani japo co wote. Kuna mijitu mipumbafu kweli kweli, inawachukia waarabu bila sababu ukiuliza sababu nini linakujibu kunya mammae.
 
Mkuu, Utiifu wake mtu na Unyenyekevu wake kwa Slave Master wake, hautafanya ale naye meza moja, Kamwe.

Wakati tunafikiri Love can do, wao wanafundisha watoto wao kukubagua na kukunyonya iwezekanavyo.

UTU si kujinyenyekeza kwa adui yako, bali kushindana naye, maana kipimo cha Utu ni Wajibu wako.
 
UBAGUZI UNAWATESA SANA WATU WEUSI, ni wabaguzi wakupindukia aisee

Ni watu wacojiamini, ni watu ambao all the time huhisi kutengwa na kudharauliwa na whites. Huu ugonjwa mmbaya sana. Mungu atuepushie mbali.

Watuulize cc ambao tumeishi na waarabu, tunawajuwa A to Z, ni wa2 wakarimu sana, ni watu wa aibu na kujickia vibaya kumbaguwa mtu mweusi, mwarabu hawezi pita bila salam, umeharibikiwa na gari lako barabarani atasimama kukupatia msaada. Waarabu ni moja ya jamii wa2 wake wakarimu/wanaroho nzuri kupita kiac, na desturi zao ni nzuri kuliko jamii yoyote, japo siyo wote lakini wengi wao wako poa.
 
Waarabu huwa michosho Sana, Ni kweli mpira wanaujua Ila mbinu zao za kupoteza muda huwa zinaboa Sana .

Kupoteza muda ni kawaida, kwa faida ya timu,, hata wazungu wana hiyo kitu, huku kwetu pia ipo, refer mechi ya Tunisia na Burkina faso,,,Burkina walikuwa wanapoteza mda, na mda mwingi wakiguswa wanaanguka.
 
Waraabu ni too much
 
Waraabu ni too much

Sawa, ni kwa sababu tu hawapendwi basi wataleta kila sababu za kuwapakazia 🤣 cameroon na kubebwa kwao kila mechi lakini kuna watu bado wanatamani wachukuwe ubingwa kwa sababu ya rangi. Pata picha itokee moja ya timu za kiarabu wabebwe kama ilivyo kwa cameroon aise watalaaniwa mno. Mimi nitakuwambia kitu "chuki dhidi ya waarabu ipo kwenye damu" kwa maana ilishakaririshwa uongo kitambo sana, na yenyewe ikaamini hivyo.

Tukubali tukatae waarabu wako juu kimpira, na kadiri wanavyo endelea kufanya vizuri na ndivyo wacojielewa/wabaguzi wanazidi kuwachukia.

Ningelikuwa Rais wa nchi hii, wa2 kama hawa nakata vichwa ili iwe fundisho kwa wapumbavu wengine, wanatudhalilisha sana cc kama wazawa.
 
hayo yako wewe yawezekana ni matatizo ya akili, unawafahamu wa America ya kusini kwa kujitupa?

Mkuu, chuki ipo kwenye damu, hata uwaambie vipi hawakuelewi 🤣 kwa maana walishakaririshwa hivyo, na wao wanazidi kukaririshana baba, mtoto, mjukuu na kitukuu, wakikuwa wanaendelea ivyo ivyo kukaririshana 🤣 wanatia huruma masikini ya mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…