ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Hizi ndio zile msg zinasomwaga kwenye redio😂😂Burkifaso timu, piga hao Senegali bao mbili bila warudi kwao wakalale
jipange kuokota mpira wa Mane nyavuni.sawa?!Bukinabe wananiwakilisha vizuri
Ngoja tuoneLEo burkina faso anapita...aisee hii game bwana koulibalyh bonge la beki alafu huku upande wa pili napo kuna kijana centre back wa ukweli jersey no. 12. Wacha nione kama atanifurahisha huyu beki.
Hakuna penaltyRefa anaenda kwenye VAR
Kabisamaamuzi sahihi