Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #261
Anaubonda mwingi sana hapaPeter Banda wa Simba ameanza kwenye kikosi cha Malawi
Niliangalia dk 25 za mwisho, kiukweli Mane hakuwa naimpact ya kueleweka, labda kwenye kufunga penalty.Form is temporary but Class is permanent, Mane anawatanguliza Senegal
Timu yao imepoa, wachezaji hawajitumi sana kama wakiwa kwenye vilabu vyaoNiliangalia dk 25 za mwisho, kiukweli Mane hakuwa naimpact ya kueleweka, labda kwenye kufunga penalty.
Mbaya zaidi kapewa Man of the match...Niliangalia dk 25 za mwisho, kiukweli Mane hakuwa naimpact ya kueleweka, labda kwenye kufunga penalty.
MaliMwaka huu hili kombe ni la Morocco.