2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Algeria hawaamini mpka muda huu kama game ingekua ngumu hivi..ngoja tuone inaweza kuwa kama jana senegal goli la jioni..
Jana nilivaa viatu vya Zimbabwe nikaviona vizito aisee.

Yaani unapambana mwishowe unapoteza game , ile iliwaumiza sana sababu kikawaida Senegal sio level yao kuwamudu kwa zaidi ya dkk 85 ujue walipambana hasa.
 
Hivi South Africa hakufuzu?! Halafu kuna Mauritania, Sierra Leone, Sudani, Ethiopia, Commoros, Malawi na Zimbabwe?!
 
Back
Top Bottom