Snoop Dogg
JF-Expert Member
- Jan 10, 2022
- 283
- 262
Jana hizi mechi nilitembea nazo kwa mkeka wa over 1.5 😀😀😀 kanji akabeba chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana hizi mechi nilitembea nazo kwa mkeka wa over 1.5 😀😀😀 kanji akabeba chake.
Hahaha pole sana mwekezaji wa ndani😂Jana hizi mechi nilitembea nazo kwa mkeka wa over 1.5 😀😀😀 kanji akabeba chake.
Anajitahidi mno mpaka nahisi anaeza choka mwishowe ataruhusu bao.Refa atawatafutia goli algeria ila mpaka sasa to me kipa wa siera leone ndio man of the match
Algeria hawaamini mpka muda huu kama game ingekua ngumu hivi..ngoja tuone inaweza kuwa kama jana senegal goli la jioni..Anajitahidi mno mpaka nahisi anaeza choka mwishowe ataruhusu bao.
Umemuona Kocha wao kapagawa kabisa sababu hawakutegemea wanachokiona yaani wanamiliki mpira ila milango ndo imekuwa migumu.Algeria hawaamini mpka muda huu kama game ingekua ngumu hivi..ngoja tuone inaweza kuwa kama jana senegal goli la jioni..
Jana nilivaa viatu vya Zimbabwe nikaviona vizito aisee.Algeria hawaamini mpka muda huu kama game ingekua ngumu hivi..ngoja tuone inaweza kuwa kama jana senegal goli la jioni..
Yaani amewaduwaza , sababu mipira mingine mpaka unahisi anataka aidake nje ya eneo lake ili tu awe salama.🤣🤣Keeper wa Seara Leon ni mbishi haswa
Kongole kwa Siera Leone wamejitahidi aisee.FT' Algeria 0-0 Sierra Leone
Ndio maishaHivi South Africa hakufuzu?! Halafu kuna Mauritania, Sierra Leone, Sudani, Ethiopia, Commoros, Malawi na Zimbabwe?!