2021 AFCON Special Thread

Ni swala la muda tu.....timu za kaskazini si unajuwa tena, mwanzo wanasoma mazingira, next match utawaona tofauti, ndiyo kawaida ya timu za kaskazini
Sasa hivi hamna cha ukaskazini soka imebadilika ,wameshadrop points jua wengine washajichukulia points,zamu hii wakipambana ni draw tu
 
Sasa hivi hamna cha ukaskazini soka imebadilika ,wameshadrop points jua wengine washajichukulia points,zamu hii wakipambana ni draw tu

Hahaaa sawa kamanda, naomba utunze hii comment

My Prediction

......... Algeria and Morocco
......... Senegal and Algeria
......... Nigeria and Morocco
......... Morocco and Algeria

Bila kuwasahau Mali na Tunisia
 
Chama langu wapo njema...nimewaona,wakipepetana na Egypt... Wametulia Sana..Pongezi Kwa Kocha Kwa kuwajengea kujiamini
Walijiamini Sana, na hii imewasaidia sana game Leo, acha tusubiri game ijayo
 
Nani anawakilisha Afrika mashariki?
 

Hahaaa sawa kamanda, naomba utunze hii comment

My Prediction

......... Algeria and Morocco
......... Senegal and Algeria
......... Nigeria and Morocco
......... Morocco and Algeria

Bila kuwasahau Mali na Tunisia
We jamaa bana prediction zako Waga za ajabu sana, Sasa unaotea team 5 tena zote ambazo zina asilimia kubwa ya kufika finally, Yani ni sawa mtu aseme Eti napredict bingwa wa ligi kuu bara kama sio Yanga basi Simba ilhali ndio always inakuwa hivo

Hakunaga prediction ya hivo mzee, we predict team mbili zitacheza fainali sio kuotea otea tu lundo la team ili hii ikishindikana basi hii ikubali, ndo kuotea gani huko sasa, we go specific either, finally it will be Senegal vs Morocco full stop
 
Hahaaa sawa kamanda, naomba utunze hii comment

My Prediction

......... Algeria and Morocco
......... Senegal and Algeria
......... Nigeria and Morocco
......... Morocco and Algeria

Bila kuwasahau Mali na Tunisia
Chagua team mbili za kufika fainali Ili zikifika tuseme kweli ulitabiri, Sasa hapo si umetaja timu zinazofanya vizuri kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…