Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #421
Hawa Sudan sio level yetu kabisaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sudan si ndo kwakina Shiboub,alafu iyo ni Sudan ipi?Hawa Sudan sio level yetu kabisaaa
Sudan yenyeweSudan si ndo kwakina Shiboub,alafu iyo ni Sudan ipi?
Kwa kiwango hiki Egypt hawafiki mbali
Cjui wametumia vigezo gan kumpa timu Carlos Quiroz ambae hana mbinu na soka la kuvutia
Algeria and Morocco 💪🏽 though Nigeria nao wako vizuri pia sema hawakawii kutepeta hao, tena wakutane na Algeria and Morocco watapigika tu.Nigeria [emoji1184] ndio Timu yangu ya kushabikia
Sijui imekuwaje leo hii sio Misri tuliyoizowea.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Africa hatuna mipira? Mbona Referee anahangaika sana hadi mechi inasimama?
BlackPanther kanishawishi tuishabikie ila moyo wangu unajiona kusita. 😀😀😀
Timu mbili za hili group ni zipi? Tuone kama kuna kutoboa.
Hahahaaa. Tusubiri tuone.Ni swala la muda tu 🤣 nigeria wako vizuri sema hawakawii kukata pumzi, ni tofauti na timu za afrika kaskazini (kiarabu) tushazoea miaka yote wako 🔥🔥🔥
Wakitoka wote je? 😀Usikate tamaa mapema, ni suala la muda tu....Algeria ndiyo kawaida yao, next match atakichafuwa balaa.....
Timu nazoshabikia ni ALGERIA and MOROCCO, Algeria akitoka naenda na Morocco 💪🏽😀
Yaani hawa Algeria ndio mabingwa watetezi?
Wakitoka wote je? 😀