Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Nantes ya ufaransaHuyu Saimon Wa Nigeria Anachezea Club Gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nantes ya ufaransaHuyu Saimon Wa Nigeria Anachezea Club Gani?
Anakipiga Nantes Mkuu, jamaa kajua kuuwasha sana moto leoHuyu Saimon Wa Nigeria Anachezea Club Gani?
Nyie mnamgombea chama na kumtegemea kagere baada ya kuandaa vijana wenuMko milioni 60 lakini wambea watupu
Wa kiume au wa kike!??😇😁Tungeshaa. 😅
Mi mpaka sasa ni Team Cameroon na Nigeria ikitokea zimekutana huko mbele ntajua nashabikia ipi.Mpaka sasa nashindwa kuelewa Kati ya Senegal ,Cameron na Nigeria nishangilie wapi,Senegal naona zamu hii wazinguaji tu
nadhani hata mi nitaenda na Cameroon na NigeriaMi mpaka sasa ni Team Cameroon na Nigeria ikitokea zimekutana huko mbele ntajua nashabikia ipi.
Ewaaa. Twende nazo hizi tuone mwisho wetu wapi.nadhani hata mi nitaenda na Cameroon na Nigeria
Hawana cha maanaYaani hawa Algeria ndio mabingwa watetezi?
Nani hao Mkuu mana nimetoka kapa eti. 😀Wa kiume au wa kike!??😇😁
Team Mali nipo hapa [emoji1159]nadhani hata mi nitaenda na Cameroon na Nigeria
Hao wengi, Cape Verde hawafiki milioni 4.Yaani kweli Sierra Leone Inashiriki Afcon Sisi Tanzania Tunabishana na Mikopo na Kiti cha Uspika [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nchi ina Watu Million 7, Tanzania Tuko zaidi ya Millioni 60 [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Shabikia Cameroon maana mwenyeji atleast akishindwa atabebwaMpaka sasa nashindwa kuelewa Kati ya Senegal ,Cameron na Nigeria nishangilie wapi,Senegal naona zamu hii wazinguaji tu
Atleast imebeba uzito wa AfconBonge moja la mechi, Nigeria v/s Egypt
Kesho msije mkaikana timu yenuTeam Mali nipo hapa [emoji1159]
Edit Post yako mkuuNigeria ingekuwa na Igalo na Osimhen pale mbele,basi ingizuiwa na timu yoyote kwenye haya mashindano.