2021 AFCON Special Thread

Hawa waandalizi wa haya mashindano wanapata aibu sana. Emagine wimbo wa timu ya taifa wameshinswa kupiga. Kila wakipiga wanakuta sio wenyewe.....
kipindi flani nilipokuwa nasoma chuo sasa hicho karibia Ina mataifa yote Africa ,Wakenya huwa wanaingizwa kwenye mechi ya watanzania maana ni wachache,ni mechi za wanafunzi mataifa yote,Sasa ikafika zamu ya mechi ya Tanzania kupiga wimbo wake,kumbe kwenye flash waliyopeleka ya wimbo pia kuna wimbo wa Diamond,...Ikapigwa my number diamond feat davido .aisee ilikuwa aibu
 
Wc tutaendelea tu kushiriki
Tim africa zinacheza kama euro under20
 
ile refa anamaliza game dk ya 85 halafu Tunisia wanalalamika wanaendelea hadi dk ya 89 anamaliza na kulikuwa na break ya kunywa maji halafu refa mzambia imekaaje
Hili limetokea kwa timu moja ya kiarabu wakati zipo kama tano, ila pia ukiangalia mazingira ambayo red card imetolewa, utangua refa ana matatizo na hakuwa anabeba upande wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…