Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
kipindi flani nilipokuwa nasoma chuo sasa hicho karibia Ina mataifa yote Africa ,Wakenya huwa wanaingizwa kwenye mechi ya watanzania maana ni wachache,ni mechi za wanafunzi mataifa yote,Sasa ikafika zamu ya mechi ya Tanzania kupiga wimbo wake,kumbe kwenye flash waliyopeleka ya wimbo pia kuna wimbo wa Diamond,...Ikapigwa my number diamond feat davido .aisee ilikuwa aibuHawa waandalizi wa haya mashindano wanapata aibu sana. Emagine wimbo wa timu ya taifa wameshinswa kupiga. Kila wakipiga wanakuta sio wenyewe.....